Habari

Haya ndio maajabu ya fainali za Kombe la Afrika

Fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon) mwaka huu zimefikia tamati nchini Misri,

zaidi

Kilichoibeba Algeria Afcon

Uimara na ubora wa Algeria kuanzia safu ya ulinzi hadi ushambuliaji, nidhamu ya kimbinu, kujitolea kwa wachezaji na uhodari wa kocha Djamel Belmadi vimechangia

zaidi

Wadau waonya Afcon 2021

WADAU mbalimbali wa soka nchini wamesema Tanzania inaweza kufuzu fainali zijazo za Afrika, Afcon iwapo hakutakuwa na ubabaishaji wa maandalizi ya kikosi hicho mapema.

zaidi

FAINALI KALI: Algeria na Senegal kukwaana leo Ijumaa

MBIVU na mbichi kwenye makala ya 32 ya Kombe la Afrika itajulikana leo nchini Misri wakati Teranga Lions ya Senegal na Desert Foxes ya Algeria zitamenyana

zaidi

Nigeria yajiliwaza na nafasi ya tatu #Afcon2019

Timu ya Taifa ya Nigeria imetwaa nafasi ya tatu katika michuano ya #Afcon2019 baada ya kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya dhidi ya Tunisia usiku wa kuamkia leo.

zaidi

Nigeria wajipa matumaini mshindi wa tatu

BAADA ya timu ya taifa Nigeria kukubali kichapo cha mabao 2-1 dhidi ya Algeria, kiungo wa timu hiyo Moses Simon,

zaidi

Belmadi: Siwezi kuwaahidi Algeria

KOCHA wa timu ya taifa Algeria, Djamel Belmadi, amedai hana mpango wa kuwaahidi mashabiki wa timu katika mchezo wao wa fainali kesho kutwa dhidi ya Senegal.

zaidi

Waalgeria waendelea kusherehekea ushindi wao

Mashabiki wa timu ya taifa ya soka ya Algeria waandelea kushangilia ushindi wa timu yao

zaidi

Riyad Mahrez aipatishia ushindi Algeria na kutinga fainali

Wachezaji wa Algeria waonesha furaha yao baada ya ushindi wao dhidi ya Nigeria.

zaidi

KOCHA SIMBA ARUDI NA MBWEMBWE

KOCHA Mkuu wa Simba Patrick Aussems ana vituko! Akiwa njiani kurejea Dar es Salaam akitokea likizo alituma salamu kuwa yuko tayari kuanza msimu mpya huku akiweka msisitizo akitumia kauli inayotumiwa n

zaidi

NIGERIA, ALGERIA WASAKA KUCHEZA FAINALI

NIGERIA na Algeria zitachuana katika mpambano wa kusaka nafasi ya kucheza fainali ya michuano ya 32 ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon 2019) wakati watakapokutana katika Uwanja wa Kimataifa wa Cairo

zaidi

KOCHA MADAGASCAR ATOA NENO

KOCHA wa timu ya taifa ya Madagascar, Nicolas Dupuis amesema ni vigumu kwa timu inayoshiriki kwa mara ya kwanza fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon 2019) na kufikia robo fainali, kufanya vizuri katika

zaidi